LIPUMBA AANZA KUPOKEA WABUNGE WALIOKUWA UPANDE WA MAALIM SEIF
Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam Picha na Said Khamis
Photo: 1/3
Mwenyekiti wa cuf ,Ibrahim Lipumba akisalimiana Mbunge Mchinga, Hamidu Hassan Bobali aliyekuwa akuunga mkono upande wa Maalim Sef wakati wa mkutano jijini Dar es Salam jana.Picha na Said Khamis
Photo: 2/3
Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba akisalimiana na wafuasi wake bada ya mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salam jana.Picha na Said Khamis