Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1046 results for Aurea Simtowe :

  1. Mtego wa senene kukuza kipato

    Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) imetengeneza mashine rafiki kwa mazingira ya kuvunia senene, wadudu wanaothaminiwa na kabila la Wahaya mkoani Kagera, lengo likiwa ni kukuza...

  2. Mashine kusaidia uuzaji vinywaji bila muuzaji

    Ili kuweka urahisi wa ufanyaji wa biashara pasipo uwepo wa watu, mbinu mpya na rahisi imebuniwa itakayofanya biashara kujiendesha kidigitali.

  3. Akili unde kusaidia matibabu ya afya ya akili

    Kutambua hatua za haraka ili kutibu tatizo linalokusumbua ni moja ya njia inayoweza kukusaidia kuwa salama.

  4. UDSM yaja na bajaji inayotumia maji na mafuta

    Wakati biashara ya usafirishaji ikiendelea kukua nchini, watu wanaendelea kubuni njia rahisi zitakazowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi na kuwapunguzia gharama za uendeshaji.

  5. PRIME Sababu mikoa  10 kuwa kinara wanafunzi kuacha shule

    Kwa mujibu wa takwimu hizo jumla ya wanafunzi 158,374 waliacha shule za msingi na wengine 148,337 wakiacha sekondari mwaka 2023.

  6. Bei za vifurushi zimeshuka - NHIF

    Hili linasemwa wakati ambao tayari utekelezaji wa sheria ya bima ya afya kwa wote umeanza, huku utaratibu maalumu ukiwa umewekwa ili kuwafikia wale wasiokuwa na uwezo wa kumudu gharama ikiwemo...

  7. Tanzania kununua ndege nane, mashabiki Yanga waitwa Sabasaba

    Serikali ya Tanzania imesema iko katika mchakato wa ununuzi wa ndege nyingine nane licha ya kuwepo kwa zuio la ndege za Air Tanzania kuingia katika anga la Ulaya.

  8. Maonyesho sabasaba hadi saa mbili usiku

    Ikiwa zimebaki siku mbili kabla ya maonyesho ya 49 ya biashara ya Dar es Salaam kuanza, muda wa uonyeshaji bidhaa kwa wazawa umeongezwa kutoka saa 12 jioni hadi saa 2 usiku.

  9. Maandalizi Sabasaba yafikia asilimia 85, maguta, malori marufuku uwanjani.

    Akizungumza baada ya kumaliza kufanya ukaguzi, Mapunda amesema maonyesho hayo yana hadhi ya kimataifa hivyo haipendezi malori kupaki katika maeneo ya uwanja huo wa Julius Nyerere na kusababisba...

  10. Profesa Kitila: Kupungua misaada ituamshe Afrika kujitegemea kiuchumi

    Profesa Mkumbo ametoa kauli hiyo jana, Juni 22, 2025 katika Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa kushirikiana na Wizara ya Ujenzi, likijadili...

Page 1 of 105

Next