Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

80 results for Filbert Rweyemamu :

  1. Serikali kutoa ufadhili wahitimu 50 waliofaulu vizuri kidato cha sita

    Vijana 700 waliofaulu kwa kiwango cha juu katika masomo ya sayansi kwenye matokeo ya kidato cha sita yaliyotangazwa jana watanufaika na ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu ndani na nje ya nchi...

  2. Mama Karume aeleza changamoto za wanawake katika uongozi Zanzibar

    Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mama Fatuma Karume, amesema safari ya mwanamke katika kufikia malengo yake imejaa changamoto nyingi, milima na mabonde, lakini wanawake hawapaswi kukata tamaa.

  3. Gambo, Makonda uso kwa uso mbele ya Katibu Mkuu CCM

    Katika kile kinachoonekana kama juhudi za viongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushusha mvutano wa kisiasa kati ya Mbunge wa sasa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo na aliyekuwa Mkuu wa...

  4. EAC yaomba bajeti ya Sh292.2 bilioni kwa mwaka wa fedha 2025/26

    Bajeti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ya mwaka wa Fedha 2025/2026 imesomwa kwanjia ya mtandao ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na uhaba wa fedha huku kiasi cha dola 109.3 milioni ambayo ni...

  5. Bajeti ya EAC kusomwa, kujadiliwa mtandaoni kesho

    Katika makadirio ya mwaka huu wa fedha, kiwango cha fedha kinatarajiwa kuwa pungufu kwa kile cha mwaka wa fedha uliopita kilichokua dola 112 milioni za Marekani (Sh302.4 bilioni), ambazo ni...

  6. ‘Wachokonozi’ washikiliwa na Polisi Arusha

    Taarifa hiyo ya Polisi iliyotolewa jana Jumamosi, Juni 21,2025 imewataja watuhumiwa hao kuwa ni Jackson Kabalo (32) na Joseph Mrindoko (37) wajasiriamali na wakazi wa eneo la Maji ya Chai wilaya...

  7. Vodacom Plc yatuzwa kwa kuimarisha ulinzi taarifa binafsi za wateja

    Kampuni ya huduma za mawasiliano kwa simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc imetambuliwa kuwa moja ya taasisi za mawasiliano zinazozingatia ulinzi wa taarifa binafsi za wateja, na mifumo ya...

  8. Barabara mto wa Mbu-Loliondo kugharimu Sh24 bilioni, mkandarasi aonywa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akizungumza kwenye hafla hiyo leo Jumatatu Juni 9, 2025, amemtaka mkandarasi kuheshimu masharti ya mkataba na kuutekeleza ndani ya muda aliopewa.

  9. Chadema yaitisha Kamati Kuu kujadili barua ya Msajili

    Ikiwa imepita siku moja tangu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, kueleza hatua atakazochukua baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kukaidi maelekezo yake, chama hicho kimesema...

  10. PRIME Daktari asimulia magumu waliyopitia manusura wa Lucky Vincent

    Amesema safari ya watoto hao ilikuwa ngumu kwa sababu walikuwa wameumia sana, ingawa walikuwa imara kuweza kusafiri.

Page 1 of 8

Next