Watatu ACT Wazalendo wajitosa kupeperusha bendera Moshi Mjini
Makada hao ambao ni Hassan Machaku, Elisha Mangwasi na Hanaf Mwetta wamechukua fomu kwa nyakati tofauti katika ofisi za chama hicho mkoa, zilizopo mtaa wa Kiusa, mjini Moshi, huku wakijipambanua...