Wafanyabiashara waliokwama Somanga wasimulia adha kukatika kwa barabara
Maoni ya wafanyabiashara hao yanafuata baada ya Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Taifa, Hamis Livembe kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara kutokana na miundombinu ya barabara kusombwa na maji, baadhi...