Yaliyotikisa Baraza la Kumi, Rais Mwinyi kulivunja Baraza la Wawakilishi la Kumi linafikia tamati ya uhai wake baada ya kipindi cha miaka mitano, likiacha kumbukumbu ya kumaliza majukumu yake chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), mfumo wa...
Matarajio bajeti ya Zanzibar 2025/2026, ikiwasilishwa Baraza la Wawakilishi Wakati Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye makadirio yanayofikia Sh6.8 trilioni ikisomwa kesho, wananchi na wataalamu mbalimbali wameendelea kutoa...
Baada ya TLP na SAU, Mgaywa aibukia ADC kuwania urais Mwanasiasa Mutamwega Mgaywa, baada ya kugombea urais wa Muungano mara mbili bila mafanikio kupitia vyama vya Tanzania Labour Party (TLP) na Chama cha Sauti ya Umma (SAU), sasa ameibuka kupitia...
SMZ yaanzisha mwendo kukabili migogoro ya ardhi Amesema kiwango hicho ni kikubwa ikilinganishwa na ardhi iliyopimwa na kutolewa hati mwaka 2015 hadi 2020 ambapo walipima maeneo 1,709.
Hatua ngumu zinazoinyemelea Chadema Ingawa Chadema mara kadhaa imefafanua kuwa akidi ya kikao hicho ilitimia kwa kuwa hakikuwa cha uchaguzi wala kubadilisha sera, ofisi ya msajili imeweka ngumu, ikikataa kuwatambua, kusimamisha...
Wawakilishi walalama wananchi kutolipwa fidia wakipisha miradi Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesisitiza kuwa licha ya umuhimu wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa, ni lazima wananchi wanaoathiriwa na ujenzi wa miundombinu hiyo walipwe fidia zao kwa...
Sababu Dk Mwinyi kuteua wakurugenzi wapya Unguja, Pemba Mhandisi Zena amesema uteuzi huo unaanza rasmi leo, Mei 20, 2025.
Hamad Rashid ajitosa urais Zanzibar, kuchuana na Mwinyi, Othman Aliyekuwa Mwenyekiti wa Alliance for Democratic Change (ADC), Hamad Rashid Mohamed amechukua fomu kuwania urais Zanzibar, akieleza vipaumbele vyake ni kujikita kwenye kilimo, elimu...
PRIME Wakili aibua jambo kesi ya wanafamilia wa Balozi Rupia Nyumba hiyo ya ghorofa tatu iliyopo Kariakoo, katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Wazawa 10 wanaendelea kukimbiza Katika vitabu vya kumbukumbu za klabu kongwe hapa nchini, Simba na Yanga, kuna rekodi zinaonyesha timu hizo zimefika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika mara moja kila upande.