BARAZA LA MZEE SALIM: Dharau ni miongoni mwa sumu mbaya ya uchaguzi
dalili za hatari, jambo linaloweza kuzaa majuto makubwa. Mtunzi maarufu wa fasihi, Said Mohamed, aliwahi kuwaelezea watu wa aina hii kuwa ni “Mti mkavu”, yaani watu walioishiwa fikra sahihi...