Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

710 results for Sute Kamwelwe :

  1. Muuza barakoa aliyepigwa risasi kwenye maandamano afariki

    Taarifa kutoka nchini Kenya zinasema kijana muuza barakoa aliyepigwa risasi kwenye hekaheka za maandamano ya Juni 17, 2025 amefariki dunia.

  2. Rais Samia amteua kigogo TIC kuwa bosi mpya TISEZA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Gilead Teri kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (Tiseza).

  3. 25 wadakwa maandamano ya Gen-Z Kenya

    Watu 25 wamekamatwa nchini Kenya kutokana na vurugu zilizoibuka kwenye maandamano ya Juni 25, 2025 ya vijana maarufu Gen-Z yaliyofayika kwa lengo la kukumbuka wenzao waliouawa mwaka jana.

  4. Profesa Ibrahim Juma ateuliwa Mkuu wa UDOM

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaji Mkuu mstaafu, Profesa Ibrahim Juma kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

  5. ACT-Wazalendo kuja na 'Operesheni Majimaji'

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuja na kampeni ya 'Operesheni Majimaji' yenye lengo la kuwaamsha Watanzania kurejesha thamani ya kura zao.

  6. Akili Unde ‘AI’ na athari zake kwenye utengenezaji filamu

    Huenda uandaaji wa filamu ukaathiriwa na teknolojia ya AI za utengenezaji video za kampuni za teknolojia ikiwemo za Google na Open-AI zenye uwezo wa hali ya juu katika matoleo yao mapya.

  7. Hizi hapa njia kupambana na selimundu

    Utolewaji wa elimu, ugunduzi wa mapema, matibabu na utolewaji wa dawa kwa wakati ni miongoni mwa njia za kupambana na ugonjwa wa Selimundu zilizoainishwa na wataalamu wa afya.

  8. Tanzania yajipanga kuingia soko la kimataifa uuzaji madini adimu duniani

    Ripoti zinaonesha mchango wa sekta ya madini katika uchumi wa taifa unaendelea kukua. Kufikia 2024, sekta hiyo ilichangia asilimia 10.1 ya Pato la Taifa, ikilinganishwa na asilimia 7.1 mwaka...

  9. Hekaheka za Gen Z wakiandamana kuwakumbuka wenzao waliouawa Kenya

    Takriban watu 60 waliuawa mwaka jana na vikosi vya usalama katika wiki za maandamano ya kupinga ongezeko la ushuru na hali mbaya ya kiuchumi kwa vijana wa Kenya.

  10. Wenyeviti Serikali za mitaa watwishwa zigo ulinzi miundombinu ya Tanesco

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limewapa uongozi wa serikali za mitaa wakiwemo wenyeviti na watendaji jukumu la kuwaunganisha wananchi na shirika hilo katika utoaji huduma na mawasiliano.

Page 1 of 71

Next