Zege halilali...wengine wajitosa ubunge CCM, yumo Mama Salma Kikwete Mchakato huo unatarajiwa kukamilika Julai 2, 2025 ambapo tayari wabunge wanaotetea majimbo yao, wabunge wa zamani, watoto wa vigogo na wafanyabiashara, wamejitokeza kuchukua fomu.
Prisons, Fountain mmoja anabaki Kitendawili cha kujua ni timu gani kati ya maafande wa Tanzania Prisons dhidi ya Fountain Gate cha kubakia Ligi Kuu Bara msimu ujao, kitateguliwa leo saa 10:00 jioni, wakati miamba hiyo...
PRIME Tuzo Bara ni Ahoua, Pacome Jana ilikuwa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) iliyofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar ambapo Yanga ilicheza dhidi ya Singida Black Stars.
Yanga wamebeba tena Duke Abuya na Clement Mzize, wamekata kiu ya mashabiki wa Yanga baada ya kufanikisha kutwaa Kombe la Shirikisho (FA) katika mchezo wa fainali uliofanyikwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Aliyekosa fursa kuwania urais TLP aipata ADC, Hamad Rashid… Chama cha Alliance For Change, (ADC), kimemchagua Wilson Elias kuwa mpeperusha bendera kwa tiketi ya chama hicho kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu...
Yanga, Singida BS ni fainali ya heshima, rekodi na kisasi Imepita takribani miezi minane sawa na siku 243 tunarudi tena New Amaan Complex, Zanzibar kushuhudia Singida Black Stars ikicheza dhidi ya Yanga.
Elliott afichua kuondoka Liverpool Harvey Elliott amekuwa mkweli kuhusu mustakabali wake. Huku akikiri kuwa muda wake Anfield unakumbwa na majaribu, nyota huyo wa England chini ya miaka 21 sasa yupo kwenye njia panda ama kusalia...
Wydad yaondoka kinyonge Kombe la Dunia la Klabu Klabu ya Wydad Casablanca imemaliza kucheza mechi zake za hatua ya makundi ya Kombe la Dunia la Klabu ambayo inatimua vumbi huko Marekani huku Klabu hiyo ikiondoka na rekodi mbaya ya kupoteza...
PRIME Shahidi muhimu kesi ya Wakenya wanaodaiwa kuua Mtanzania kutotajwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imezuia kutajwa majina na mahali anapoishi, shahidi muhimu katika kesi ya mauaji ya Mtanzania Mohamed Ameir inayowakabili raia...
Al Ahly yatupwa nje, Messi kuvaana na PSG Kombe la Dunia la Klabu Baada ya Wydad Casablanca kutolewa juzi, matumaini ya Afrika kwenye Kombe la Dunia la Klabu yamezidi kufifia baada ya Al Ahly ya Misri kutupwa nje mapema alfajiri ya leo kufuatia sare ya mabao...