Mama Asimwe akabidhiwa nyumba na UVCCM Kagera Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera umemkabidhi nyumba yenye thamani ya Sh12 milioni, mama mzazi wa marehemu mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath aliyeuawa na kunyofolewa...
Saba wafariki dunia, tisa majeruhi ajali iliyohusisha lori, Hiace na Costa Watu saba wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katikia ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania, Toyota Hiace na Coaster eneo la Kihanga mkoani Kagera.
Ajali ya Hiace, lori yaua, yajeruhi Karagwe Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya lori la mizigo aina ya Scania kugongana na Toyota Hiace inayofanya safari kati ya Kayanga wilayani Karagwe na Bukoba Mjini.
Simulizi ya mwenyekiti wa mtaa aliyeongoza kwa miaka 39 Bagani alizaliwa mwaka 1950 alisoma katka Shule ya Msingi Nyakato, iliyopo Bukoba mwaka 1963, baadaye alichaguliwa kwenda Nyarugongo Middle School alikohitimu mwaka 1967, kabla shule hiyo...
Mradi wa umeme Rusumo kuzinduliwa Februari, 2025 Baada wa uzinduzi wa mradi wa umeme Rusumo utakaonufaisha nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi kuwa kimya kwa zaidi ya mwaka, Mawaziri wanaohusika na nishati kutoka nchi hizo wamekubaliana...
Waziri asimulia alivyosotea hati ya ardhi kwa miaka mitatu Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utaoji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ili litende haki wakati wa usuluhishi wa migogoro na...
Mtoto mchanga auawa, anyofolewa viungo, ‘bibi wa kambo’ ahusishwa Mtoto mchanga, Antidius Avitus (miezi minne) amekutwa amefariki dunia na baadhi ya viungo vya mkono wake vikiwa vimenyofolewa huku bibi yake wa kambo akihusishwa.
Sintofahamu kifo mgombea Chadema, Polisi yafafanua Jeshi la Polisi nchini limesema taarifa za kuuawa kwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Missenyi mkoani Kagera, Joseph Remigius (52) si za kweli na zinalenga...
Mwalimu mbaroni akidaiwa kumuua mwanafunzi kwa kichapo Chatanda ametoa wito kwa wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi badala yake kufuata taratibu na sheria.
Baba mzazi mbaroni akidaiwa kufukua kaburi la mwanaye Baba mzazi wa mtoto wa mwaka mmoja, Faston Innocent anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kufukua kaburi la mwanaye huyo na kuweka jeneza likiwa na mwili mlangoni mwa nyumba ya babu yake.