Utata bilionea aliyemhonga mpenzi wake Sh2.3 bilioni
Raia wa Ubelgiji, Merc De Mesel ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa mabilionea, amelalamikia kitendo cha mpenzi wake kusumbuliwa baada ya kumwekea kiasi cha Sh2.3 bilioni kwenye akaunti yake ya benki.