Search

62 results for Christian Bwaya :

  1. Shule za bweni kwa jicho la saikolojia, malezi

    Mapema mwaka huu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ilipiga marufuku shule za msingi kutoa huduma ya bweni kwa wanafunzi wa madarasa ya awali, darasa la kwanza hadi la nne.

  2. Kidato cha kwanza mwaka 2023 na upungufu wa madarasa 4, 341

    Takriban wanafunzi milioni moja wanatarajia kujiunga kidato cha kwanza kwenye shule za Serikali mwakani huku changamoto ikiwa ni upungufu wa vyumba vya madarasa.

  3. Udanganyifu wa mitihani shuleni, vyuoni uko hivi

    Zungumza na mdau yeyote wa elimu, soma andiko lolote kuhusu mifumo ya mitihani Tanzania kwa ngazi zote za elimu, mojawapo ya changamoto utakayokumbana nayo ni udanganyifu au wizi wa mitihani.

  4. Uhaba wa vitanda wazitesa hospitali

    Wakati Serikali ikiendelea kuongeza idadi ya hospitali na vituo vya afya nchini, bado changamoto ya uhaba wa vitanda vya kulazia wagonjwa inaendelea kuiandama sekta ya afya, hasa katika vituo vya...

  5. Tamu, chungu kufutwa kwa darasa la saba

    Serikali imedokeza uwezekano wa wanafunzi wa elimu ya msingi kusoma kwa miaka sita badala ya saba.

  6. Usiyempenda anaweza kuwa baba wa mwanao?

    Watoto wanahitaji uwepo wa mzazi. Simulizi ya Slaquara ilitukumbusha hakuna muujiza kwenye malezi. Mzazi unavuna ulichopanda.

  7. Nini kinakuzuia kurudi nyumbani?

    Jioni tulivu baada ya saa za kazi, unazuka mjadala kusaili msimamo mkali wa injinia wa Dodoma. Ikiwa ulipitwa na safu hii wiki iliyopita, simulizi la injinia lililenga kubainisha kile alichokiita...

  8. Uzinzi unavyogharimu mipango ya familia nyingi

    Ninapata chai ya jioni na Injinia. Jamaa kafanikiwa. Maisha yake yanaongea na kuhamasisha wengi. Jamaa anaheshimika na kanipa heshima ya kikao. Simu zimeachwa yatima mezani kwa takribani saa...

  9. Mambo ya kuzingatia unapofikiria kazi ya ziada

    Siku hizi si ajabu kusikia mfanyakazi ana kazi zaidi ya moja. Teknolojia, kwa mfano, imetengeneza majukwaa yanafanya iwe rahisi kwa watu kufanya kazi nyinginezo za kuwaongezea kipato nje ya ajira.

  10. Ajira na kazi: Mbinu za kufanya kazi na maadui zako eneo la kazi

    Umewahi kupata wazo kuwa kuna mtu kazini kwako hana nia njema na wewe? Je, wakati mwingine unahisi kuna watu fulani unaofanya nao kazi ni wabaya wako?

Previous

Page 2 of 7

Next