Search

21 results for Elizabeth Joachim :

  1. Tanzania kuhesabu watu milioni 61.3 Sensa

    Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema Tanzania inatarajia kuhesabu watu milioni 61.3 kwenye Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022.

  2. VIDEO: Ulemavu unavyoitesa familia ya Mallya

    Hujafa hujaumbika, usemi huu unaweza kuutumia kuelezea milima na mabonde anayopitia Edmund Mallya, ambaye katika umri wake wa miaka 68 hakufikiria siku moja angepata ulemavu na kuwa tegemezi.

  3. Soko la Karume laungua tena

    Vibanda 36 vimeteketea katika Soko la Karume lililopo Dar es Salaam baada ya moto kuunguza sehemu ya soko hilo.

  4. Mbowe alivyowasili kanisani

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewasili katika katika Kanisa Kuu la Azania Front kwa ajili ya ibada ya shukrani leo Jumapili Machi 6, 2022 ikiwa ni siku...

  5. Raia wa Ukraine aeleza machungu ya ndugu zake walio vitani na Russia

    Roman Kotiliarevskyi anayeishi jijini Dar es Salaam na familia yake, hakutarajia kama nchi yake ya Ukraine ingeingia kwenye mzozo mkali na Russia. Vita hivyo vimemweka njia panda anapofikiria...

  6. Serikali yachukua hatua kwa Watanzania walioko Ukraine

    Wakati majeshi ya Urusi yakiendelea kuteka miji nchini Ukraine, Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imewataka Watanzania zaidi ya 300 wanaoishi...

  7. Wafanyakazi 12 wa Azam wapata ajali

    Wafanyakazi 12 wa Azam wamepata ajali baada ya gari lao kusukumwa na lori lililokuwa linarudi nyma kwa dharura katika mlima Kitonga mkoani Iringa.

  8. Masauni ataja kinachomnyima usingizi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema mauaji yanayotekelezwa na baadhi ya watu nchini pamoja na baadhi ya askari wanaofanya vitendo kinyume na maadili ni mambo ambayo yanamyima...

  9. Mauaji yatikisa Kilimanjaro

    Unaweza kusema mauaji yamekithiri mkoani Kilimanjaro. Ndani ya miezi tisa watu 12 wameuawa kwa sababu mbalimbali zikiwamo za kulipiza kisasi,migogoro ya ardhi na kifamilia.

  10. VIDEO: Neno la mwisho la aliyeuawa kwa risasi Sinza

    Mdogo wa Marehemu (Gift Mushi) anakiyeuawa kwa kupigwa risasi Sinza mkoani Dar es Salaam, Edga Kombe ameleezea neno la mwisho la kaka yake kabla ya umauti kumfika.

Previous

Page 2 of 3

Next