Mnyika: Watanzania tuendeleze kupigania Katiba Mpya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataka Watanzania kuendeleza mapambano ya kudai Katiba Mpya na kuondolewa kwa kasoro zote zinazofanya chaguzi zisiwe huru na haki.
Boni yai amtaka Mbowe asiwe mnyonge, akumbushia mchango wake Amesema mchango wa Mbowe kwenye chama hicho ni mkubwa na wana kila sababu ya kujivunia utumishi wake hivyo hapaswi kuwa mnyonge.
Samia asimame hapo, Lissu pale mechi dakika 90 - Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche amesema wanahitaji mabadiliko ya sheria za uchaguzi ili Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea mteule wa...
Dk Tulia: Tuombee uchaguzi, viongozi wapatikane kwa haki Askofu Lazaro ambaye alizaliwa Oktoba 4, 1937, alifariki Mei 17, 2025 katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Kaskazini KCMC, siku na mwezi sawa na aliyofariki mke wake, Evagrace mwaka 2017.
TAG wamlilia Askofu Lazaro, mamia wakimuaga Askofu Lazaro alianza huduma za kiroho mwaka 1959, Modio Masama na mpaka anastaafu huduma hiyo mwaka 2019 alikuwa amefikisha miaka 60 ya utumishi wake.
ACT Wazalendo yajipanga kulitwaa Jimbo la Moshi vijijini Makada wawili wa Chama cha ACT - Wazalendo, wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya chama chao kugombea ubunge jimbo la Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
Bei lita moja maziwa ya nyuki yagonga Sh12 milioni Tanzania inatajwa kuwa nchi ya pili kwa uzalishaji wa asali duniani, ikizalisha takribani tani 38,000 kwa mwaka, ikitanguliwa na Ethiopia ambayo huzalisha tani 50,000 kwa mwaka.
DC Moshi atoa onyo kwa vijana kuhusu vurugu za uchaguzi Moshi. Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Godfrey Mnzava amewataka vijana kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, akisisitiza kuwa ni jukumu lao kulinda utulivu katika...
Wahamiaji haramu 35 wakamatwa K’njaro wakiwa shamba la mahindi Kuanzia Januari hadi Mei 15, 2025, wahamiaji haramu 65 wamekamatwa katika maeneo tofauti mkoani Kilimanjaro, kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria.
Mwanafunzi chuo cha KICHAS adaiwa kujiua kisa madeni Inadaiwa kuwa, siku ya tukio, baadhi ya wanafunzi waliokuwa wanamdai walienda nyumbani kwake anakoishi kufuata fedha zao na walipofika waligonga mlango bila mafanikio na walipochungulia dirishani...