Search

72 results for Florence Majani :

  1. Dk Slaa afunguka

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden anayemaliza muda wake, Dk Wilbrod Slaa, amesema suala la Katiba Mpya ni muhimu, lakini linahitaji maandalizi ya kutosha na ya msingi.

  2. Alivyopoteza kizazi, miguu na vidole tisa

    Ni ndoto ya kila mwanamke kubeba ujauzito, kuzaa na hatimaye kumpakata mtoto wake.

  3. Siri wajawazito wengi kujifungua kwa ‘kisu’

    Madaktari wasema madhara ni makubwa lakini wanawake wametoa sababu za kukimbilia upasuaji huo.

  4. UCHAMBUZI: Sauti kubwa kwenye ‘earphone’ si ujanja ni maradhi

    Katika dunia hii yenye vifaa vingi vya kuzalisha sauti, kumbi za muziki na vifaa vya kusikiliza sauti, basi hapana shaka yapo madhara yake.

  5. Athari kiafya wanawake kuchelewa kuzaa

    Wataalamu wa afya wameeleza kuwa wanawake wanaosubiri muda mrefu kabla ya kupata mtoto wako hatarini kupata uvimbe kwenye uzazi ujulikanao kama fibroids.

  6. UCHAMBUZI: Mzazi ni mwalimu wa kwanza wa mtoto

    “Ukitaka kumfahamu vyema mzazi, basi mtazame mwanawe”. Huu ni usemi niliousoma kwenye bajaji moja hivi huko mtaani kwangu Kimanga, Tabata jijini Dar es Salaam.

  7. Mwananchi yang’ara tena tuzo za Ejat 2017

    Waandishi saba wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), wameibuka washindi katika tuzo za umahiri wa habari (Ejat) kwa mwaka 2017.

  8. Tuanze sasa kuutafuta utajiri vitabuni

    Siku hizi sayansi na teknolojia imewatenga wanafunzi na ulimwengu wa vitabu hasa riwaya, hadithi za watoto au hadithi za kawaida zilizokuwa zikiandikwa na waandishi wa zama zile kama kina...

  9. Habari ya ‘Mnyongaji’ ilivyompa ushindi Mwandishi wa Mwananchi

     Moja ya habari zilizompa ushindi  wa tuzo za umahiri Mwandishi wa Habari wa gazeti la Mwananchi, Florence Majani,  ni ile ya  mnyongaji Mkuu wa Gereza la Isanga.

  10. MCL yatikisa tuzo za waandishi

    Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), imeng’ara katika Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (Ejat) mwaka 2016 kwa waandishi wake watano kunyakua jumla ya tuzo nane

Previous

Page 2 of 8

Next