Makundi maalumu yapewa neno INEC ikijiandaa kwa uchaguzi Imeelezwa kuwa, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeboresha mfumo wa uandikishaji hivyo mpigakura aliye kwenye daftari anaweza kuboresha taarifa zake kidijitali kwa kutumia simu ya...
CUF yajipanga kudai Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi Chama cha Wananchi (CUF) kimesema wakati Taifa likielekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kinatarajia kufanya mazungumzo na vyama vingine vya siasa...
Wadau wataka sheria mpya leseni za usafirishaji Sheria ya Leseni ya Usafiri ya mwaka 1973 inatamka dereva anapokutwa akiendesha gari bila kifaa cha kuweka takataka anapaswa kulipa faini ya Sh2, 000 hadi Sh5, 000
Doyo atangaza kumrithi Hamad Rashid ADC Doyo amesema Mwenyekiti wao ameonyesha ukomavu wa kulinda katiba ya chama, ambayo imeweka utaratibu wa kiongozi kuongoza kwa vipindi viwili.
Mahujaji 3,300 wanaoenda kuhiji wapewa somo Jumla ya mahujaji 3,300 wanatarajia kuondoka nchini kwa nyakati tofauti kwa ajili ya kwenda Makka nchini Saudi Arabia kutekeleza ibada ya hijja.
Lissu ‘atia mguu’ jimbo la Mwigulu Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu ameanza ziara ya wiki tatu Mkoa wa Singida ambako atafanya mikutano ya hadhara katika kata zote kwenye kila wilaya.
Wahitimu watakiwa kutumia taaluma zao kujiajiri Dar es Salaam. Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wametakiwa kutosubiri kuajiriwa serikalini au katika sekta binafsi, bali watafute namna ya kutumia ujuzi walioupata katika masomo yao...
Necta yafuta maswali ya kuchagua hisabati mitihani shule za msingi Serikali inazidi kufanyia kazi maoni ya wadau wa elimu kwa lengo la kuboresha mfumo wa elimu nchini.
Mwenge wa Uhuru wamulika ununuzi wa umma Mwaka 2023 Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) ilianzisha mfumo mpya wa ununuzi wa kieletroniki (NeST) utakaosaidia kudhibiti rushwa wakati wa mchakato wa zabuni, ucheleweshaji na...
Mitihani ya kidato cha sita kuanza kesho Jumla ya watahiniwa 113,504 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita, kuanzia kesho Mei 6 mwaka huu huku ikitarajiwa kumalizika Mei 24.