Mshindi wa kutafsiri Kiswahili kuzawadiwa Sh230 milioni
Lugha ya Kiswahili imeteuliwa kutumika kutafsiri matini katika Tuzo za Hamad, zinazofanyika Doha nchini Qatar kwa mwaka 2022 ambazo mshindi atazawadiwa Dola 100,000 ambazo ni sawa na Sh230 milioni.