Wadaiwa kuingilia mifumo ya benki, kujipatia Sh1.6 bilioni
Raia wa Ghana, Valentine Zancheus (42) na Mtanzania, Fortunatus Bundala (36) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuingilia mifumo ya...