Wananchi Kusini Unguja waeleza matamu, machungu RC akiwapa matumaini
Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja, licha ya kupongeza hatua mbalimbali za maendeleo wanazozishuhudia, wamemweleza Mkuu wa Mkoa huo, Ayoub Mohamed Mahmoud, kuhusu changamoto zinazowakabili, huku...