THPS yatoa upimaji VVU kwa wafungwa 89,602 gerezani
Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) limetoa huduma za upimaji wa Virusi vya Ukimwi (VVU) kwa watu 89,602 waliopo gerezani huku 2,030 wakigundulika na maambukizi katika kipindi cha...