Search

30 results for Maryasumta Eusebi :

  1. Saratani ya damu, tishio watoto mikoa ya kaskazini

    Saratani ya damu imetajwa kuwa miongoni mwa maradhi yanayoathiri kwa kiwango kikubwa watoto, katika mikoa ya kaskazini.

  2. Utafiti tofauti ya kinga wanaoishi mijini na vijiji kufanyika

    Taasisi ya Utafiti wa Afya (KCRI) inakusudia kufanya utafiti wa utofauti wa kinga ya mwili kati ya wanaoishi mjini na vijijini.

  3. KCMC yaanza upandikizaji kioo cha mbele cha macho

    Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) imeanza kufanya upandikizaji wa kioo cha mbele cha jicho (kornea) kwa wagonjwa wenye matatizo ya macho.

  4. Mke wa Mrema afunguka, awataka Watanzania kuondoa hofu

    Doreen Kimbi, mjane wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustine Mrema amewataka Watanzania kuondoa hofu juu ya hatma ya maisha yake, akisema mmewe alimhimiza kujiamini na kutokuwa na hofu.

  5. TPC yawekeza Sh5.9 bilioni uchimbaji visima, Waziri Aweso awapa neno

    Kampuni ya Uzalishaji wa Sukari (TPC) imewekeza kiasi cha Sh5.9 bilioni katika kuchimba visima vya maji ili kuhakikisha upatikanaji wa maji ya uhakika kwa kampuni hiyo inayojihusisha na kilimo...

  6. Waziri Aweso awapa maagizo bodi mpya bonde la maji Mto Pangani

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amezindua bodi ya 10 ya wakurugenzi ya Bonde la Maji la Mto Pangani huku akiitaka bodi hiyo kutokaa ofisini na badala yake kuitembelea jamii, kuielimisha na...

  7. Wananchi Marangu wamkumbuka Mrema

    Mrema (77) aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alifariki dunia leo Jumapili, Agosti 21, 2022, asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.

  8. Sabaya afanyiwa upasuaji, kesi yaahirishwa

    Mawakili wa upande wa utetezi kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali...

  9. Kesi ya Sabaya yaendelea kupigwa kalenda

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Mkoa wa Kilimanjaro imeutaka upande wa Jamhuri kukamilisha upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na...

  10. KCMC kujengewa maabara ya Sh6 bilioni

    Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kaskazini (KCMC) imepata ufadhili wa zaidi ya Sh6 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa maabara ya kisasa itakayoongeza ubora wa huduma bobezi za afya.

Previous

Page 2 of 3

Next