PRIME RC mstaafu adai fidia Sh200 milioni Mkuu wa mkoa mstaafu wa Morogoro, Erasto Sanare amemfikisha mahakamani Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli, Isaac Joseph (Kadogoo), akimtuhumu kumkashifu na kumtolea matusi huku akitaka alipwe...
Shahidi akosekana mahakamani kesi ya kukutwa na nyara za Serikali Kesi inayowakabili raia wa Guinea, Ally Angozuu na wenzake 11 wanaodaiwa kukamatwa na vipande 660 vya meno ya tembo imeshindwa kusikilizwa kwa sababu shahidi aliyekuwa akitegemewa kutoa ushahidi...
Rais Samia kuzindua jengo Papu Arusha, kivutio kipya Rais Samia Suluhu Hassan kesho anatarajiwa kuzindua jengo la kitega uchumi na Makao makuu ya Umoja wa Posta Afrika (Papu) ambalo ni moja ya vivutio katika Jiji la Arusha kwa sasa.
Maofisa BOT watua Namanga kudhibiti uuzaji holela dola Kutokana na uwepo wa changamoto ya upatikanaji wa fedha za kigeni, baadhi ya maofisa wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wamewataka wafanyabiashara katika mpaka wa Namanga kuwa na Leseni za maduka ya...
Serikali kutoa huduma ya intaneti majumbani Serikali imeanza kusambaza huduma za intaneti kwa bei nafuu zaidi katika makazi ya watu ili kurahisha utendaji wa kazi ambazo zinahitaji huduma hiyo.
Waliokamtwa Ngorongoro waachiwa kwa dhamana Jeshi la Polisi mkoa Arusha, limewaachia kwa dhamana watuhumiwa 32 baada ya juzi kumuachia Mbunge wa jimbo wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai, ambao kwa pamoja walikuwa wanashikiliwa kwa tuhuma...
Mbunge Ole Shangai aachiwa kwa dhamana Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ambaye alikuwa anashikiliwa na Polisi mkoani Arusha ameachiwa kwa dhamana usiku wa leo Jumatano Agosti 23, 2023.
Polisi waeleza kumshikilia Mbunge wa Ngorongoro Jeshi la Polisi Mkoa Arusha, limeeleza kumshikilia Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Lekishoni Shangay na watu wengine kadhaa kutokana na tuhuma za kuwashambulia waandishi wa habari.
Sakata la Mbunge wa Ngorongoro latinga Mahakamani Mawakili wa Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ambaye anadaiwa kushikiliwa na polisi tangu juzi, wamefungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, wakitaka afikishwe Mahakamani...
PRIME Kizimbani akidaiwa kuvunja, kuiba simu kituo cha Polisi Mbeba mizigo ‘kibega’ katika soko la Mbuyuni mjini Moshi, Jackson Mussa (20), amepandishwa kizimbani akituhumiwa kuvunja kituo cha kati cha Polisi Moshi na kuiba vielelezo mbalimbali.