Search

78 results for Mussa Mwangoka :

  1. Viongozi CCM wakemea makundi ndani ya chama

    Viongozi wa CCM mkoa wa Rukwa wameendelea kukemea makundi ya kisiasa yaliyozaliwa wakati wa mchakato wa kugombea nafasi mbalimbali ndani ya CCM mkoani hapa huku wakitaka makundi hayo yavunjwe...

  2. Majaliwa ahoji Sh500 milioni kushindwa kukamilisha shule

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amehoji matumizi ya Sh500 milioni kutokamilisha ujenzi wa shule ya msingi Mpalamawe wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa, akitaka ukaguzi ufanyike.

  3. Mwaigombe: Nimevunjwa mguu na polisi

    Wakati mkazi wa kitongoji cha Makwasa mjini Sumbawanga, Msafiri Mwaigombe (44), akidai kupigwa na polisi hadi kuvunjwa mguu bila kuwa na kosa, jeshi hilo limekanusha madai hayo, huku likimhusisha...

  4. Ramli zilivyochonganisha wananchi

    Wakati mwaka huu ukiwa unaelekea ukingoni, Mkoa wa Rukwa ulikuwa na habari nyingi, zikiwamo za wapiga ramli chonganishi maarufu kama ‘lambalamba.’

  5. Mauaji ya kutisha yatikisa

    Kifo cha utata cha Kelvin Mfugale, mwanafunzi wa kidato cha sita, Shule ya Sekondari ya Mawelewele iliyopo Iringa kimekuwa sehemu ya matukio ya mauaji ya kutisha yaliyotokea ndani ya wiki moja...

  6. Hakimu adaiwa kujiua gesti Sumbawanga

    Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Michael Royan (31) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni ya ‘gesti’ iliyopo Manispaa ya...

  7. CCM yaonya makundi Sumbawanga

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Sumbawanga Mjini kimewaonya wanachama wake wanaendeleza makundi ya kisiasa yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi wa nafasi mbalimbali za ndani ya chama hicho...

  8. Mbunge wa zamani aibuka mshindi uenyekiti Rukwa, Aeshi hoi

    Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu mkoa wa Rukwa, Silafu Maufi amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa huo baada ya kuwashinda wenzake wawili waliokuwa wakichuana...

  9. Mganga wa jadi kunyongwa kwa kuua watoto wawili Rukwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga imemhukumu mganga wa jadi, James Kapyela (57) kunyongwa hadi kufa, baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuwaua kwa makusudi watoto Nicholaus Mwambage (7) na...

  10. Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka saba Nkasi

    Mkazi wa Namanyere, Wilaya Nkasi mkoani Rukwa, Athanas Exavery (32) amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto wa kike mwenye miaka saba.

Previous

Page 2 of 8

Next