Serikali yazitaja hospitali zinazotoa tiba asilia Hospitali hizo zimeongezeka kutoka saba ambazo Serikali, mwaka 2023, ilizitangaza kuanza kutoa huduma hiyo, sasa zimefika 14.
PRIME Mawaziri watatu kubanwa Mawaziri watatu wataingia katika mjadala wa wabunge kuhusu bajeti za wizara zao kwa mwaka 2025/26 huku hoja kubwa zikitarajiwa kujitokeza zikiwa ni madeni ya makandarasi kwenye miradi ya barabara...
Hiki ndio kitakachomaliza urasimu, migogoro ya ardhi Zanzibar Awali kazi hiyo ilikuwa ikifanywa na Bodi ya uhaulishaji na kamisheni ya ardhi tena kwa sheria mbili tofauti.
PRIME MZEE WA FACT: Harufu ya 1992 kwenye dabi ya 2025 Hali hii imeturudisha hadi mwaka 1992 kwenye mkasa wa mechi kama hii.
Jowuta: Waandishi msibebe vyama, tendeni haki uchaguzi mkuu Juma amesema viongozi wa vyama vya kisiasa wanapaswa kuwaacha wanahabari kufanya kazi kwa uhuru na kuacha kuwapiga ama kuwazomea kwenye misafara.
Rose Mhando alivyoweka alama kwenye kipaji cha Charugamba Katika upeo wa muziki wa injili nchini, jina la Rose Mhando limeendelea kuwa alama ya ujasiri, kipaji na wito wa kipekee kwa miaka mingi. Sauti yake yenye mvuto na ujumbe wa kiroho umegeuka kuwa...
Chadema yalaani utekaji, kuratibu maandamano ya amani, CCM waalikwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Serengeti, Jackson Mnyawami amelaani vitendo vya utekaji wa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chadema katika Kanda ya Serengeti.
PRIME Mvua zazua kizaazaa Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeanza kuleta athari, huku wananchi wanaoishi maeneo hatarishi wakiaswa kuhama.
PRIME MZEE WA FACT: Soka letu lina mengi yakushtua Wallace Karia ambaye kwa sasa anamalizia muhula wake wa pili na ameshatangaza nia ya kugombea muhula wa tatu, anaelekea kupita njia ya Tenga kama kiongozi aliyetuliza hali na kujenga mahusiano...
PRIME Mtihani mpya kwa Mzize, Fei Toto Ujio wa nyota hao wa kigeni unawafanya wazawa kuwa na kazi ya ziada ya kufanya kuhakikisha wanaiwakilisha nchi vizuri, lakini kwa misimu mitatu iliyopita mambo yalikuwa magumu.