Search

438 results for Pamela Chilongola :

  1. TMA yatoa angalizo mvua za masika

    TMA Mvua hizo zinatarajiwa kuanza wiki ya nne ya Februari katika maeneo mengi nchini

  2. PRIME Makali ya maisha, maumivu kila mahali

    Mambo hayo yamekuwa yakiwapunguzia ufanisi katika shughuli za maendeleo wanazozifanya.

  3. Ukonga walia ubovu wa barabara, Tarura yaahidi neema

    Amesema barabara zenye uhitaji mkubwa kwenye jamii wamezipa kipaumbele na wanatarajia kuziboresha kwa kiwango cha lami kupitia Mradi wa Uendelezaji wa Mkoa wa Dar es Salaam (DMDP).

  4.  Pikipiki ilivyosababisha wafanyabiashara watatu kuuawa

    Wananchi wajichukulia sheria mkononi wawaua, ikidaiwa mmoja alinunua pikipiki ya wizi.

  5. CCM yahamasisha wanawake kugombea uchaguzi Serikali za mitaa

    Katika maadhimisho hayo, Wambura amedai kuwa tangu jana Februari Mosi, wamekusanya zaidi ya wanachama 22,000 waliowapa kadi wilayani Ilala.

  6. Waziri aipa Tanesco siku 30 kuziwekea ulinzi transfoma

    Amehoji kwa nini shirika hilo limeajiri wataalamu, lakini wanashindwa kuweka kifaa cha ulinzi kwenye transfoma hizo ili kuepusha zisiungue.

  7. PRIME Maandamano Chadema yaweka rekodi, Mbowe atoa msimamo

    Maandamano hayo yaliyoishia katika ofisi za Umoja wa Mataifa (UN) jijini Dar es Salaam yalianza rasmi majira ya saa 5 asubuhi, lakini makada na wafuasi wa chama hicho walianza kujitokeza katika...

  8. RC Chalamila aeleza sababu vyombo vya dola kutoshiriki usafi

    Awali, Januari 13, 2024 Chalamila alitangaza kuwa Januari 23 na 24 mwaka huu ni siku ya usafi ambayo vyombo vya dola vingeshiriki.

  9. Mfanyabiashara aongezwa kesi ya uhujumu uchumi

    Agosti 7, 2023 washtakiwa watatu walifikishwa mahakamani hapo ambao ni Awadhi Mhavile (39), Ally Msesya maarufu kama Ally Yanga (37), mkazi wa Pugu

  10. Usafiri Barabara ya Morogoro hali  tete, eneo la Jangwani lafungwa 

    Mvua hizo zilizoanza kunyesha leo Januari 20 2024 saa kumi alfajiri kwa kuambatana na upepo mkali zimesababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali jijini.

Previous

Page 2 of 44

Next