Serukamba akomalia urejeshwaji wa Sh900 milioni za mikopo Mafinga MKuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba ameagiza halmshauri ya Mji Mafinga kuhakikisha Sh927.2 milioni zilizotolewa kama mikopo kwa vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu...
PRIME Mahakama ya Rufani yaamuru sheria ya haki za kiraia irekebishwe Mahakama ya Rufani imeelekeza ndani ya miezi 12 (mwaka mmoja) Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lirekebishe kwa kufuta vifungu vya 6 na 7 vya Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.
Bajeti ilivyotumika kupoza mjadala wa usalama nchini Mjadala unaoendelea kuhusu matishio ya kiusalama yakiwemo matukio ya ama watu kutekwa au kuuawa ambayo yamezua wasiwasi nchini, umemlazimu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kutumia hotuba ya...
Bajeti Afrika Mashariki zaongezeka zikilenga maeneo tofauti Mawaziri wa Fedha wa nchi za Afrika Mashariki jana waliwasilisha bajeti za Serikali zao kwa mwaka wa fedha 2025/2026, huku baadhi ya nchi hizo zikikabiliwa na mazingira magumu ya kiuchumi pamoja...
Vipaumbele tofauti bajeti za Afrika Mashariki zikiongezeka Nchi zilizowasilisha bajeti zao leo Juni 12, 2025 ni Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda zinazonesha tofauti katika vipaumbele huku zikiweka mkazo kwenye vyanzo vipya vya mapato.
PRIME VIDEO: Sheikh Ponda avunja ukimya kuchanganya dini, siasa Mwananchi limefanya mahojiano na Sheikh Ponda, katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, ambaye licha ya kuwa kiongozi wa dini alijiunga na ACT Wazalendo.
Wavujajasho wanolewa kuikabili mifumo kandamizi ya kibepari Katibu wa Ushirika wa Wafanyabiashara wa Ilala, Lucy Marwa amesema amejifunza umuhimu wa ushirika katika kuwafanya wavujajasho kuwa na kauli moja hasa wanapopigania maslahi yao yanayokandamizwa...
PRIME Masheikh, wanasiasa wataka uchaguzi huru, haki Viongozi wa dini ya Kiislamu nchini wamehimiza umuhimu wa kudumisha amani kama msingi wa haki, maendeleo na utekelezaji wa ibada, wakitoa wito kwa Watanzania kuepuka kauli za chuki au uchochezi...
Shura ya Maimamu yaja na mapendekezo kuboresha maisha ya Watanzania Shura ya Maimamu Tanzania imeishauri Serikali kuwekeza vya kutosha katika kuzalisha walimu wengi na bora, iwaajiri wahitimu wote wa kozi hiyo na iwalipe mishahara bora.
PRIME Chadema kuamua kusuka au kunyoa Wakati Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ikitarajia kukutana kesho Jumanne, Juni 3, 2025, huenda ikatoka na uamuzi wa kusuka au kunyoa dhidi ya maelekezo ya Msajili wa...