PRIME Wataalamu waonya matumizi mabaya ya vitimwendo Matumizi ya viti mwendo visivyo sahihi yanatajwa kusababisha matatizo makubwa ya kiafya kwa watu wenye changamoto za ulemavu wa miguu, wataalamu wameonya.
PRIME Simba, Yanga zinavyolijenga, kulibomoa soka la Tanzania Habari ya mjini ni mvutano unaoendelea baada ya mechi ya watani Simba na Yanga kuahirishwa siku ya mchezo, Machi 8, mwaka huu. Kamati ya Uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu Bara (TPLB) saa 7:53...
Serikali yapangua hoja za ACT-Wazalendo Siku chache baada ya ACT- Wazalendo kuitaka Serikali kuvunja mkataba wa uendeshaji wa Bandari ya Malindi kati ya Shirika la Bandari (ZPC) na Kampuni ya Africa Global Logistic (AGL) ya Ufaransa...
Ujumbe wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan utiifu kwa Mwenyezi Mungu, utiifu kwa Taifa na kuwasaidia viongozi kutenda mema,’’ amesema Sheikh Hassan. Sheikh wa Mkoa wa Shinyanga, Ismail Makusanya amesema pamoja na kufunga, Waislam...
ACT Wazalendo yatoa neno uendeshaji bandari ya Malindi Chama cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kuvunja mkataba na mwekezaji anayeendesha Bandari ya Malindi na kurudisha shughuli za uendeshaji wa bandari kwa Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC).
PRIME Simba imejipanga eneo hili, ukijichanganya inakula kwako! Kuweni makini! Ndivyo unavyoweza kusema kwa timu pinzani pale zinaposhuka uwanjani kucheza na Simba, kwani zikijichanganya kidogo tu zijue mapema inakula kwao mapema.
SMZ yaeleza sababu kusitishwa kwa safari za ndege za Air France, KLM Hayo yamebainishwa Desemba 20, 2024 na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mudrik Ramadhani Soraga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha.
Madudu afunguka tamthilia ya Nazi Bubu kuwania tuzo Senegal Tamthilia ya Tanzania iitwayo ‘Nazi Bubu’ imechaguliwa kuwania tuzo za Dakar International Drama Festival zitazotolewa Senegal kupitia kipengele cha ‘Best Short Drama’
Shetani wa Buswita alivyoibuka tena Simba Na shetani aliyempitia Buswita ndiyo huyo aliyewapitia akina Awesu Awesu na aliwapitia wengi sana kabla yake na kuwafanya wasaini vilabu zaidi ya kimoja ndani ya dirisha moja la usajili na...
Harmonize na Rayvanny waingia mzigoni Nyota wa muziki nchini, Harmonize na Rayvanny,wametangaza ujio wa ngoma yao mpya ikiwa ni ngoma inayosubiriwa kwa hamu.