Search

368 results for Tumaini Msowoya :

  1. Ufugaji wa samaki unavyotumika kupambana na udumavu Kiponzelo

    Kupitia mradi wa Maishilio unaotekekelezwa na Shirika la World Vision, jamii imefanikiwa kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki ili kuongeza kipato na kuzihakikishia familia lishe bora.

  2. PRIME Watoto wasimulia walivyobakwa, kulawitiwa na mtu aliyejifanya askari

    Watoto hao wenye umri wa miaka kati ya 13 – 15 (majina yanahifadhiwa), wamefanyiwa ukatili huo April 30, 2024 baada ya mtu huyo aliyejifanya kuwa ni askari polisi kuwakamata akidai anawapeleka...

  3. Wakazi Idunda walia kukosa daraja Mto Mtongolosi 

    Wamesema tatizo hilo si kwa sababu ya mvua, badili ni la miaka mingi, eneo hilo halina daraja jambo lililokifanya kijiji chao kuwa kama kisiwa.

    New Content Item (1)
  4. PRIME Uzembe unavyochangia ubakaji, ulawiti kwa watoto

    Limekuwa kama jambo la kawaida kusikia watoto wakibakwa au kulawitiwa.

  5. Nyamoga atoa neno kwa Tarura marekebisha ya barabara sehemu korofi

    Wakazi wa Kijiji cha Kihesa Mgagao, Mkoa wa Iringa, wametaka kupata majibu kwa nini barabara ya kijiji chao haijatengenezwa wakati mwaka jana, mbunge Nyamoga aliwahakikishia ujenzi

  6. Magari yakwama, madereva walala njiani Kilolo

    Mbunge aongozana na wataalamu kutoka Tarura na Wakala wa Barabara Nchini (Tanroads) ili waone hali halisi.

  7. Wakulima wa parachichi wafundwa kilimo bora

    Akizungumza na Mwananchi leo Aprili 22, 2024, Mwenyekiti wa wakulima wa parachichi Wilaya ya Iringa, Wiles Nyaulile amesema lengo lao ni kuhakikisha kilimo hicho kinainua uchumi wao

  8. Eneo korofi Barabara ya Mafinga – Mtwango latengenezwa

    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mbunge wa Mufindi Kusini, David Kihenzile amewaeleza wakazi wa Mufindi kupitia kundi la WhatsAPP la Mufindi Kwetu, kuwa tayari wamefanyia kazi kero ya ubovu wa barabara

  9. ‘Fanyeni utafiti ughaibuni kujifunza mambo mapya’

    Asisitiza umuhimu wa wasomi kufanya utafiti nje ya nchi, akisisitiza kuwa hii itawawezesha kupata maarifa na uzoefu wa kipekee.

  10. Wasomi wa vyuo wapewa mbinu kujipima

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu, Profesa Joseph Ndunguru, amesema utafiti na ubunifu ni eneo muhimu ambalo wasomi lazima wawekeze kwa sababu jamii

Previous

Page 2 of 37

Next