Mzee akutwa ameuawa Moshi, mwili watelekezwa nyumbani kwake
Isaack Mallya (72), mkazi wa Kijiji cha Umbwe Onana, Kata ya Kibosho Magharibi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro amekutwa ameuawa nyumbani kwake na watu wasiojulikana, huku mwili wake ukiwa...