Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1156 results for Jesse Mikofu :

  1. Wizara yajipanga kuongeza idadi ya watalii, kuboresha vivutio

    Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale imepanga kutekeleza vipaumbele 10, vikiwemo kuimarisha vivutio vya utalii vilivyopo nchini kwa lengo la kuongeza idadi ya wageni wanaotembelea visiwa vya Zanzibar.

  2. Migogoro ya ardhi yatikisa mjadala bajeti ya Ardhi, watendaji wa Serikali watajwa

    Wakati Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi ikiliomba Baraza la Wawakilishi kuipitishia Sh345.4 bilioni kutekeleza vipaumbele vinane, wajumbe wameitaka Serikali iweke mipango ya kupima ardhi...

  3. Mwakilishi ataka tume ya pamoja ya fedha ivunjwe, Serikali yajibu

    Wakati mwakilishi akiibua hoja barazani kuhusu kutokuwa na umuhimu wa Tume ya Pamoja ya Fedha kutokana na kulalamikiwa kila mara, Serikali imesema uwepo wa tume hiyo una tija katika kuimarisha...

  4. Hamad Rashid ajitosa urais Zanzibar, kuchuana na Mwinyi, Othman

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Alliance for Democratic Change (ADC), Hamad Rashid Mohamed amechukua fomu kuwania urais Zanzibar, akieleza vipaumbele vyake ni kujikita kwenye kilimo, elimu, afya...

  5. Sh970 milioni zatengwa kusaidia wenye ulemavu

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa kipindi cha miaka mitatu imetenga Sh970.810 milioni kwa ajili ya usaidizi wa kundi la watu wenye ulemavu zikijumuisha ununuzi wa vifaa saidizi...

  6. Ilivyojipanga Wizara ya Kilimo kuongeza uzalishaji chakula

    Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo kwa mwaka wa fedha 2025/26 imepanga kutekeleza malengo makuu manane, ikiwa ni pamoja na kuimarisha huduma za kilimo na kuongeza uzalishaji wa...

  7. Wawakilishi wataka ajenda maalumu kujenga  viwanda

    Wawakilishi hao wamesema hatua hiyo ni muhimu ili kuimarisha sekta ya biashara na kukuza uzalishaji wa ndani, badala ya kuendelea kutegemea bidhaa kutoka nje ambazo zinadhoofisha pato la taifa.

  8. Kuimarisha viwanda, kutafuta masoko vipaumbele wizara ya biashara

    Akifafanua kuhusu mpango huo, Waziri wa wizara hiyo, Omar Said Shaaban amesema kuwa katika eneo la Dunga, Serikali inatarajia kujenga jengo la utawala pamoja na majengo ya viwanda.

  9. Mke wa Rais wa Finland azindua jengo la dawati la jinsia na watoto Zanzibar

    Wakati mke wa Rais wa Finland Suzanne Innes-Stubb akizindua jengo la dawati la jinsia na watoto Zanzibar na kutajwa kuwa kimbilio la wengi, takwimu za miaka mitatu za ukatili wa kijinsia...

  10. Usafiri wa bodaboda kupangiwa bei elekezi Zanzibar

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuwa iko katika hatua za mwisho za kuandaa viwango maalumu vya nauli kwa waendesha bodaboda, ili kuondoa changamoto ya kila mmoja kuweka bei...

Previous

Page 11 of 116

Next