Wafunga maduka wakigoma kuuza dhahabu Benki Kuu Wafanyabiashara wa madini katika Soko Kuu la Dhahabu Geita wamefunga maduka wakipinga uamuzi wa kutenga angalau asilimia 20 ya dhahabu inayozalishwa na kuiuzia Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Mtoto aliyemuua baba yake bila kukusudia aachiwa huru Hukumu imetolewa leo Septemba 24, 2024 na Jaji Athuman Matuma, aliyesema Mahakama inamuachia huru mshtakiwa kwa sharti la kutotenda kosa la jinai kwa miezi 12
Waliosota mahabusu miaka sita kwa kesi ya mauaji waachiwa huru Washtakiwa watatu waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya Sophia Sita, Mkazi wa Kijiji cha Kasala wilayani Chato Mkoa wa Geita, wameachiwa huru baada Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kutokuwa na...
Matukio ya ukatili kwa watoto yaongezeka Geita Matukio ya ukatili wa watoto hususan ubakaji yamezidi kushamiri mkoani Geita ambapo takwimu zilizotolewa na Jeshi la Polisi zinaonyesha matukio hayo yameongezeka kutoka 71 mwaka 2023 hadi kufikia...
Umbumbumbu wa teknolojia wakwamisha wajasiriamali Wafanyabiashara wengi hawana ujuzi wa teknolojia, hivyo kukosa fursa za kiuchumi kutoka serikalini.
Dereva, kondakta na abiria mbaroni wakidaiwa kumpiga trafiki Tukio hilo limetokea juzi Jumatano Septemba 18, 2024, saa 12 jioni.
Sh9.9 bilioni kusambaza maji vijiji 15 Nyanghwale Kati ya vijiji 62 vilivyopo Wilaya ya Nyanghwale, mkoani Geita, vijiji 15 havina huduma ya maji safi na salama.
Bakwata yafunguka matukio ya utekaji, Serikali yafafanua Katibu Mkuu wa baraza hilo, Nuhu Mruma amesema baraza hilo linaungana na Rais Samia Suluhu Hassan kulaani vitendo hivyo na wanavitaka vyombo vya ulinzi na usalama vifanye uchunguzi huru kubaini...
Mabadiliko ya kiteknolojia yanavyoathiri ukuaji wa watoto Mabadiliko ya kiteknolojia, kiuchumi, utandawazi pamoja na kupungua kwa mshikamano wa kijamii, vimetajwa kuwa chanzo cha kukosekana kwa misingi imara ya maadili, upendo na nidhamu kwa watoto.