Mwili uliokuwa ukigombaniwa na familia mbili wazikwa kwa mara ya pili
Hatimaye mwili wa Jackson Joseph (29) uliokuwa ukigombaniwa na familia mbili, umezikwa leo Novemba 11, 2024 kwa mara ya pili katika makaburi ya familia yaliyopo Kijiji cha Msitu wa Tembo, Wilaya...