PRIME Simulizi ya Musa Pastory aliyeachiwa huru kesi ya Milembe Akizungumza na Mwananchi, hivi karibuni uso ukiwa umejaa tabasamu, anasema yeye kwake ilikuwa siku ya muujiza na matumaini mapya ya maisha baada ya kuachiwa huru.
Mzee wa miaka 75 kortini akidaiwa kumuua mkewe kwa kumchapa fimbo Mkazi wa Kijiji cha Kibanga Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, Bujukano Lusana (75) amefikishwa Mahakama Kuu Kanda ya Geita akishtakiwa kwa kosa la kumuua mkewe bila kukusudia kwa kumchapa na fimbo.
Sita kizimbani wakituhumiwa kumuua askari wa Tanapa Washitakiwa wote wanakabiliwa na shitaka moja la kumuua kwa kukusudia Katambi kinyume na kifungu cha 196 na 197, sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2022.
Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa mauaji ya Milembe wa GGM Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Mfawidhi Kelvin Mhina baada ya kuridhika na ushahidi wa Jamhuri, ikiwemo DNA, CCTV, na ripoti za uchunguzi.
Jaji ataja sababu hukumu kesi ya Milembe kuahirishwa Kesi hiyo pia ina kurasa 371 za kusoma ili aweze kuandika hukumu, hivyo kueleza kuwa sio jambo dogo licha ya kuwa wengi wanaisubiri kwa hamu kusikia hukumu itakayotolewa.
Mbivu, mbichi wanaodaiwa kumuua Milembe wa GGM kujulikana leo Hatima ya washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya kumuua Milembe Suleman (43), aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya uchimbaji madini ya Geita Gold Mine (GGM) kwa kumkata na kitu chenye ncha kali...
Walinzi 50 wauawa Geita kwa nyakati tofauti Imeelezwa kuwa, vijana wamekuwa wakienda lindoni kwa shaka huku wengine wakiamua kuacha kazi ya ulinzi kwa kuhofia kuuawa
Hukumu kesi ya Milembe yaahirishwa tena Maunga na wenzake, Safari Labingo (54), Genja Deus Pastory na Musa Pastory (33) wote kwa pamoja wanakabiliwa na shtaka moja la kumuua mfanyakazi wa GGM, Milembe Seleman (43).
Gazeti la Mwananchi lilivyomwongezea ujasiri Masimba kuhamisha nyuki kwa mkono Ni maajabu ya kweli. Unaweza kusema hivyo. Ni kutokana na uwezo wa kipekee wa Athuman Masimba (30), mzaliwa wa Muheza mkoani Tanga anayeishi Geita, wa kukamata kundi la nyuki kwa mkono bila...
Gazeti la Mwananchi lilivyomwongezea ujasiri Masimba kuhamisha nyuki kwa mkono Ni maajabu ya kweli. Unaweza kusema hivyo. Ni kutokana na uwezo wa kipekee wa Athuman Masimba (30), mzaliwa wa Muheza mkoani Tanga anayeishi Geita, wa kukamata kundi la nyuki kwa mkono bila...