Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. 15 wapata ushemasi Moshi, Askofu Minde awapa ujumbe wao na wazazi

    Mafrateri 15 wa Jimbo Katoliki Moshi wapata sakramenti ya ushemasi, kanisa lataka waumini kuwaombea

  2. Polisi yamwachia Kweka kwa dhamana

    Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kuachiwa kwake leo Januari 3, 2026.

  3. PRIME Patashika wanafunzi wakirejea shuleni

    Kwa mujibu wa ratiba, shule za msingi na sekondari nchini zitafunguliwa Januari 13, 2026.

  4. Kidia One yapata ajali Kilimanjaro, abiria wanusurika

    Katika ajali hiyo, watu wawili wamejeruhiwa, akiwemo kondakta wa basi la Kidia One na abiria mmoja, ambao walipelekwa Hospitali ya Wilaya ya Hai kwa ajili ya matibabu.

  5. Kanisa lawasogezea wananchi wa Tarakea huduma za afya

    Kanisa la The Sowers Evangelical International Church limeanza ujenzi wa zahanati katika Kata ya Tarakea Motamburu, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, hatua inayolenga kuboresha upatikanaji wa...

  6. ‘Amani ni mbolea ya mafanikio’

    Watanzania wametakiwa kuendelea kumuomba Mungu ili amani iendelee kudumishwa nchini, wakikumbushwa kuwa amani ni msingi muhimu unaochochea mafanikio na ustawi wa jamii.

  7. Rais Samia atoa zawadi za mwaka mpya kwa wenye mahitaji maalumu Moshi

    Nderiananga amesema, ndani ya siku 100 za uongozi wa Rais ameendelea kuleta faraja, upendo, tumaini na umoja kwa Watanzania huku akisema kuwa kitendo hicho ni ishara ya upendo kwa wananchi...

  8. Dk Godwin Mollel ashinda ubunge Jimbo la Siha

    Akitangaza matokeo hayo usiku wa Desemba 30, 2025 Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo hilo, Marko Masue amesema Dk Mollel amepata kura 51,769 sawa na asilimia 78.4 huku mpinzani wake wa chama cha...

  9. Upigaji kura waendelea Siha, matokeo kutangazwa kesho

    Shughuli ya upigaji kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro inaendelea katika maeneo mbalimbali jimboni humo, huku wananchi 88,000 wanatarajiwa kupiga kura katika vituo 230 vya...

  10. Adaiwa kujinyonga hadi kufa kisa kushindwa kulipa mahari

    Taarifa zinaeleza kuwa Oiso, aliyekuwa fundi wa kuchomelea alikuwa akiishi na mkewe Anderika Kessy (32) na watoto wao wawili.

Previous

Page 14 of 144

Next