Bakita, wadau wakitangaza Kiswahili mtaa kwa mtaa Dar
Dar es Salaam. Kuelekea maadhimisho ya lugha ya Kiswahili Duniani Julai 7, Wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi na sekondari, walimu, wananchi pamoja na wadau wa lugha ya Kiswahili wamefanya...