PRIME Nchi za Afrika Mashariki zaongeza bajeti Mawaziri wa Fedha wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC),leo wamewasilisha bajeti kwenye mabunge ya mataifa yao, huku Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ikikadiria ukuaji wa uchumi kwenye...
Udzungwa wataka gesi ya kupikia kukabiliana na ukataji miti Ili kukabiliana na ukataji wa miti kwenye hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa kwa ajili ya kuni, mkuu wa hifadhi hiyo, Theodora Batiho amewaomba wadau kujitokeza kuwapatia wananchi nishati ya...
Dira ya maendeleo ya 2025 imefikiwa kwa asilimia 65 Wakati serikali ikiendelea na mchakato wa kuandaa dira mpya ya maendeleo ya mwaka 2050, Rais Samia Suluhu Hassan amesema utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2025 umefikia asilimia 65.
Serikali yapewa mkopo Sh427 bilioni ujenzi wa hospitali Zanzibar Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim ya Korea, Kiyeon amesema mkopo huo umetokana na ushirikiano mzuri kati ya serikali za Tanzania na Korea Kusini, huku akitarajia ushirikiano huo utaendelea...
Rais Samia asisitiza uwekezaji, ajenda ya nishati safi Asema Tanzania inaukaribisha uamuzi wa Korea katika ushirikiano wa maendeleo hasa kwenye eneo la teknolojia na matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Samia aweka kibindoni shahada ya tano ya heshima Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa udaktari wa heshima (PhD) na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga cha Korea (KAU) kutokana na mchango wake katika sekta ya usafiri wa anga.
Serikali kutunga sera kuzilea kampuni changa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema changamoto kubwa iliyopo sasa ni kukosekana kwa sera, sheria na kanuni zinazosimamia na kulea bunifu za kampuni changa.
Tanzania, Korea kushirikiana kwenye sekta ya madini, wasaini mikataba Ushirikiano huo utaiwezesha Tanzania kupokea mkopo kutoka Korea wa Dola 2.5 bilioni za Marekani kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2024 hadi 2028
Rais Samia atembelea kituo cha kimataifa cha kubadilishana ujuzi Korea Ndani ya jengo hilo, Rais Samia ameonyeshwa historia ya safari ya maendeleo ya kiuchumi ya Korea iliyoanza mwaka 1945 hadi sasa ikilenga kujenga dhana ya kujivunia kwa Wakorea.
Treni nyingine za umeme kuwasili Juni 16 Wakati safari za treni ya kisasa kutoka Dar es Salaam - Dodoma zikitarajiwa kuanza Julai 25, 2024, Shirika la Reli nchini (TRC) linatarajia kupokea vichwa vya treni ya umeme vinane na treni za...