BOT yapokea noti zinazodaiwa ‘chuma ulete’ Amesema kuwa katika mapokezi ya fedha chafu huwa wanapokea zilizomwagikiwa na rangi, zilizochorwa au kukatwa kwenye pembe nne za noti kwa imani za kitamaduni (chuma uletee) na zingine...