Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1263 results for Herieth Makwetta :

  1. Uamuzi wa Trump maumivu zaidi kwa Watanzania

    Uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kuzuia misaada ya maendeleo kwa siku 90, umeanza kuleta maumivu katika maeneo kadhaa, hususan ajira na utekelezaji wa miradi kama elimu na kilimo nchini.

  2. PRIME Ongezeko waathirika shinikizo la damu lisilotibiwa Tanzania

    Dk Ochina anasema mara nyingi wagonjwa hao hufika wakiwa wamepata kiharusi, mshtuko au shambulio la moyo, lakini wanaongoza zaidi kupata kiharusi.

  3. Tamko la Trump na Tanzania ilivyojiandaa miradi ya afya

    Uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump, wa kusitisha misaada ya maendeleo nje ya Marekani kwa siku 90, pamoja na azma ya kujitoa kwenye Shirika la Afya Duniani (WHO), umeikuta Tanzania ikiwa...

  4. PRIME Marekani kujiondoa WHO pigo kwa nchi maskini

    WHO iliahidi msaada wa Dola 3 milioni za Marekani kwa Tanzania kudhibiti ugonjwa huo, pamoja na Dola 50,000 kwa ajili ya uchunguzi.

  5. Trump asitisha misaada ya maendeleo nje ya Marekani

    Haikuwa wazi mara moja ni kwa upana gani agizo hilo lililenga na ni mipango gani, nchi, mashirika yasiyo ya kiserikali na mashirika ya kimataifa yanayohusika na hatua hiyo.

  6. Rais Samia athibitisha mmoja kugundulika na Marburg nchini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamuro mkoani Kagera.

  7. PRIME Kitongoji cha ajabu, hakina huduma hata moja ya kijamii

    Zikiwa zimesalia siku 11 shule kufunguliwa, zaidi ya watoto 90 wa Kitongoji cha Mbuyuni hawataanza darasa la kwanza kutokana na kukosekana kwa shule ya msingi katika eneo hilo.

  8. Maisha duni familia ya pacha waliotenganishwa - 3

    Wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi akiwaomba Watanzania wenye uwezo kumjengea nyumba Tabora, Hadija Shaban (24), mama wa pacha waliotenganishwa...

  9. Mama wa pacha waliotenganishwa apewa makazi ya muda, atoa ombi kwa Samia-2

    Hadija Shaban (24), mama wa pacha waliotenganishwa nchini Saudi Arabia, Oktoba 23, 2023 anasimulia furaha aliyokuwa nayo alipopewa taarifa za kurudi nyumbani Tanzania baada ya wanawe kuendelea...

  10. Mashine mpya zasaidia kupunguza gharama ya dialisisi

    Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani katika hospitali hiyo, Emmanuel Lazaro amesema mapokezi na ufanisi wa mashine hizo kwa kipindi cha miezi sita umesaidia kusogeza huduma karibu na wananchi na...

Previous

Page 15 of 127

Next