Sababu zatajwa Geita kubeba maadhimisho Siku ya Idadi ya Watu Duniani
Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya idadi ya watu, leo Julai 11, 2024, ambayo kitaifa inafanyika mkoani Geita na mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Naibu Waziri...