Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Mwalimu Chagwa asimulia jinsi vijana walivyopewa nafasi baada ya uhuru

    Mwananchi limefanya mahojiano maalumu na mwalimu mstaafu, Jotham Chagwa (82), mkazi wa Lugulu, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, akisimulia mapito ambayo vijana wa zamani walipitia katika...

  2. LATRA Moshi yaonya upandishaji nauli, magari mabovu kipindi cha sikukuu

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Kilimanjaro imewataka watoa huduma za usafiri kuepuka upandishaji wa nauli holela na matumizi ya magari mabovu, hasa katika msimu huu wa...

  3. Mwaitebele: Madiwani epukeni kuwa chanzo cha migogoro, tangulize maslahi ya umma

    Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro,wametakiwa kuepuka kuwa chanzo cha migogoro katika maeneo yao ya kazi na badala yake wawe chachu ya utulivu, uwajibikaji na...

  4. Katibu tawala Kilimanjaro awaonya madiwani 'wekeni maslahi ya wananchi mbele'

    Wakati Madiwani wa Halmashauri ya Moshi wakila kiapo na kumchagua Mwenyekiti na makamu wa Halmashauri hiyo , Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Kiseo Nzowa, amewataka madiwani kuweka maslahi...

  5. Vigogo CCM waanguka kura za maoni umeya, sura mpya zachomoza

    Wakati jiji la Dar es Salaam likipata wagombea wapya wanne wa nafasi ya umeya kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), katika baadhi ya mikoa mingine vigogo wameangushwa.

  6. Mapagale, maeneo ya wazi yatumika kufanyia vitendo viovu Moshi

    Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wamelalamikia majengo na maeneo ya wazi yaliyotelekezwa kwa muda mrefu, wakidai yanatumika kufanyia vitendo viovu ikiwamo vya danguro na...

  7. KCMC kuanzisha benki ya vinasaba kuimarisha utafiti

    Katika juhudi za kuinua kiwango cha utafiti na ubunifu katika kada mbalimbali za afya nchini, Chuo Kikuu cha KCMC mkoani Kilimanjaro kimepanga kuanzisha benki ya vinasaba mbalimbali ili kuendana...

  8. Profesa Kabudi: Tawasifu za viongozi ni dira ya taifa katika vipindi vya misukosuko

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amesema endapo waasisi wa Taifa hili wangeandika tawasifu zao wenyewe ikiwemo mitikisiko na changamoto walizopitia...

  9. Magari ya miaka 1960 kunogesha sikukuu za mwisho wa mwaka Kilimanjaro

    Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuingia katika shamrashamra za sikukuu za mwisho wa mwaka, wadau wa utalii mkoani Kilimanjaro wamebuni mbinu mpya ya kuvutia wageni wanaoingia mkoani humo...

  10. Damu ya bubu yamponza, ahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Damu ya bubu yamponza. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Dodoma kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Augustino Kenan, aliyekutwa na hatia ya mauaji ya Michael...

Previous

Page 16 of 144

Next