Watatu kortini kwa tuhuma za uzembe, uzururaji Dar Wakazi watatu wa jijini hapa, wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu shitaka la uzembe na uzururaji.
Upelelezi kesi ya wizi wa mafuta bado gizani Washtakiwa wa kesi ya wizi wa mafuta katika visima vya Kampuni ya Kimataifa ya Kuhifadhi Mafuta, Tiper Tanzania Ltd (Tiper), watalazimika kusubiri kwa siku nyingine 13 kabla ya kurejeshwa...
Kesi ya Dk Manguruwe yapigwa kalenda tena Serikali imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu Dk Manguruwe.
Kesi mauaji ya mwanafamilia yarejeshwa kwa hakimu Kisutu Kesi ya mauaji inayomkabili Sophia Mwenda anayedaiwa kumuua binti yake akishirikiana na kijana wake wa kiume, imerejeshwa tena kwa Hakimu Mkazi Mkuu Franco Kiswaga kuisikiliza kwa niaba ya...
Kesi mbili za ‘Boni Yai', Malisa kusikilizwa Februari Kesi hiyo ilipangwa leo Januari 15, 2025 kwa ajili ya kuanza kusikilizwa lakini imeshindikana kutokana na hakimu anayeisikiliza, Ushindi Swallo, kupangiwa kazi nyingine.
PRIME Mawakili waibua jambo kesi inayomkabili Dk Slaa Wakati Jamhuri ikiwasilisha pingamizi la dhamana dhidi ya mwanasiasa maarufu nchini, Dk Wilbrod Slaa, anayekabiliwa na kesi ya jinai, mawakili wake pia wameibua pingamizi dhidi ya kesi hiyo...
Bosi Jatu afikisha siku 746 gerezani bila upelelezi kukamilika Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33), anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, ameendelea kusota rumande kwa siku 746 kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kutokamilika.
Hatma kesi ya Dk Slaa kujulikana leo Vigogo hawa leo Jumatatu Januari 13, 2025 wanatarajia kupishana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Mwanafunzi wa IFM kortini kwa tuhuma za wizi hosteli Mshtakiwa huyo ambaye anachukua kozi ya kodi (Taxation) ngazi ya cheti hapo IFM, amefikishwa Mahakama hapo jana Ijumaa, Januari 10, 2025 na kusomewa shtaka linalomkabili.
Mlalamikaji kesi ya shambulio, awavunja mbavu watu kortini Inadaiwa siku hiyo katika Mtaa wa Alikan uliopo wilaya ya Ilala, mshtakiwa kwa makusudi bila halali alimshambulia Jabir Patwa sehemu mbalimbali za mwili wake na kumsababishia maumivu.