Wasanii Bongo walivyokwepa albamu na kugeukia EP Utoaji wa albamu kwa wasanii ni moja ya kitu kinachotafsiriwa kama mafanikio yake kwenye kazi ya muziki. Licha ya kuwa albamu hutafsiriwa kwa upande huo, lakini kwa sasa wasanii wengi wanaonekana...
Kayumba adai kudhulumiwa 1.8 milioni Mwanamuziki wa Bongo Fleva Kayumba Juma ameweka wazi juu ya mwendelezo wa sakata lake alilodai awali kudhulumiwa Sh 7 milioni na Director Elly Mzava, ambaye anafanya kazi na Rayvanny chini ya...
‘Mrs Energy’ awahamishia upepo mashabiki wake Safari moja huanzisha nyingine, ndivyo ilivyo kwa mchezaji dansi Set Fibby, maarufu kama Mrs Energy, baada ya kuamua kujikita katika muziki wa Bongo Fleva, hali ambayo imewashangaza watu...
Chama anavyompa mtihani Ahoua Simba Eneo hilo limempa umaarufu zaidi Chama kwani amewanyanyasa wapinzani huku akipachika mabao 15 na asisti sita katika mechi 44 alizoichezea Simba hatua ya makundi ya CAF tangu ametua kikosini hapo.
Ushirikiano wa filamu za Tanzania na Korea ulivyowaibua waigizaji Ikiwa zimepita saa chache tangu mchekeshaji Steve Nyerere kutoa taarifa juu ya Tanzania kuchaguliwa kuwa nchi ya kwanza kufanya filamu na South Korea baadhi ya waigizaji nchini wameonesha...
Nedy Music: Kuingia kwenye fashion hakunizii kufanya muziki Kwenye kiwanda cha burudani Bongo imekuwa kawaida wasanii kufanya kazi ya sanaa zaidi ya moja yaani mwigizaji anaweza kuwa mwimbaji pia kama ilivyo kwa baadhi ya wasanii akiwemo Lulu Diva, Quick...
Gara B, Dokta Cheni wanavyobamba na nyimbo za wasanii wakongwe Ukisikia cha kale dhahabu ndiyo hiki, kwa sasa kwenye sherehe kama vile harusi, 'Send Off' na 'Kitchen Party' siyo ajabu kusikia ngoma za zamani zikipigwa na wageni waalikwa wakiruka nazo
Mocco Genius anavyobadilika kama Kinyonga kwenye ngoma zake Wapo ambao wamekuwa na desturi ya kujaribu bunifu kadhaa ili kunogesha kazi zao kama vile kubadili miondoko na midundo ya ngoma zao
Kolabo za wasanii bongo na Marekani zinavyogeuka hewa Hivi karibuni kumezuka mtindo wa wasanii kuonesha jumbe wanazowasiliana na wanamuziki kutoka mataifa mbalimbali hasa Marekani, wakiwa wanawaomba kufanya nao kazi. Jambo ambalo ndani yake...
AY afunguka namna ya kugeuza nyimbo za zamani kuwa ‘hit songs’ Ubunifu zaidi na ubora wa hali ya juu unahitajika Ili kuzifanya nyimbo za zamani ziweze kusikilizwa tena zikiwa na ladha mpya ikiwamo kufanya remix na ubora wa hali ya juu, sio kitu rahisi...