Lindi yaeleza inavyopambana na migogoro ya ardhi Wakati kero ya migogoro ya ardhi ikiendelea kusumbua maeneo mbalimbali nchini, Mkoa wa Lindi umeeleza namna unavyopambana nayo.
Mshumaa wasababisha vifo vya watoto wanne wa familia moja Lindi Watoto wanne wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Mazoezi, wilayani Nachingwea, Mkoa wa Lindi, wamefariki dunia kwa kuungua na moto uliosababishwa na mshumaa wakiwa chumbani kwao.
Uboreshaji daftari la wapigakura wafika Lindi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, na Madiwani Oktoba mwaka huu, Manispaa ya Lindi jana imeanza uboreshaji wa daftari la wapigakura na inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 102,151 kutoka...
Ruwasa yatenga Sh600 milioni kupunguza changamoto ya maji Lindi Wakati wananchi wa Kata ya Kilolambwani Manispaa ya Lindi wakilalamika kupata changamoto ya upatikanaji wa maji, Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) Wilaya ya Lindi, umesema...
Wakurugenzi Lindi wapewa kazi zao la korosho Vijana hao walipewa mafunzo ili wakawasaidie wakulima kuongeza uzalishaji katika zao la korosho kwa kutumia njia za kitaalamu.
Lindi kuandikisha wapiga kura 768,641 Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kwa Mkoa wa Lindi utaanza rasmi Januari 28 hadi Februari 3, 2025.
Bodi ya Korosho kutumia BBT kufikia malengo Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) imeendesha mafunzo kwa vijana na maofisa kilimo 150 kutoka Mkoa wa Lindi kupitia programu ya "Jenga Kesho Ilio Bora" (BBT), lengo likiwa ni kuongeza uzalishaji wa...
Madereva mabasi ya Lindi, Mtwara wagoma kisa faini Madereva wa mabasi yanayofanya safari kutoka Stendi Kuu ya Lindi kuelekea Masasi mkoani Mtwara na Nachingwea, Liwale na Ruangwa, wamegoma kuendelea na safari kwa madia ya kufungiwa leseni na...
Rais Samia atekeleza ahadi kwa wakulima wa nazi Rais Samia Suluhu Hassan ametekeleza ahadi yake ya kugawa miche 500,000 ya minazi kwa wakulima wa mikoa ya Lindi na Mtwara.
Auawa, mwili watelekezwa kwenye bustani Ruangwa. Mkazi wa Mitope, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Justin Galus (33) ameuawa na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutelekezwa kwenye bustani za kilimo cha mbogamboga ukiwa na...