PRIME Nje ya Boksi: Kutoka Darassa hadi Leonardo “...255 Champion Boy niite Mbwana Samatta, haaa...” Dude la kibabe sana. Linaanza kibingwa, linaisha kindava. ‘Biti’ ya kikatili kama isaundi traki’ ya ‘muvi’ la kimafia. Lazima ukae.
JIONGEZE: Kabla ya Cheka Tu na Watubaki Kulikuwa na Pwagu na Pwaguzi. Hii ilibamba sana pale Pugu Road Radio Tanzania. Ni katika utawala wa Mzee Jangala na Mzee Jongo. Nyakati hizo walikuwa mastaa wakubwa sana
Ndani ya Boksi: Ni suala la muda kila mtu 'atadata' Ukipata nafasi ya kufika kule Mbozi, Mbeya. Ukakutana na habari za watu waliotajirika kutokana na kilimo cha kahawa. Unaweza kuwehuka, kujiona kama mtu uliyechelewa kweli kweli. Wakati unarudi...
PRIME Dunia ya muziki Bongo ina mkataba na Mondi Dar es Salaam. Mondi anakawaida ya kutoa wimbo kila wiki. Na siyo kutoa tu. Na wimbo 'ukahiti'. Yaani 'everi wiki anaririizi traki na inaenda vairo'. Jamaa kashika kila kitu kinachohusu muziki.
PRIME Ndani ya Boksi: Wasanii na umasikini ndugu mmoja Nimegundua waalimu huolewa haraka sana. Na pia huolewa kwa wingi tofauti na fani zingine. Waalimu wana upako wao na ndoa. Yaani ukiwa mwalimu tu lazima uoe au uolewe kwa haraka sana.
PRIME Aziz Ki anasaidia FIFA kulipeleka soka kwa mamajusi Hata sijui walipangaje miadi yao. Lakini walikutana kule bustanini wakapiga stori flani, yeye na nyoka. Baadaye akarudi kumjaza ujinga huo Adam. Na kwa pamoja wakala kikatili lile tunda la mti wa...
Pesa na siasa zinatupora vipaji Wazazi wenye mioyo na imani ya kilokole walimpa jina la Estelina. Binti mmoja wa Mzee Sanga, kutoka Nyanda za Juu Kusini kwenye baridi kama lote
PRIME Simba vs Bravos, Yanga vs Al Hilal utamu uko hapa Hakuna namna nyingine ambayo mashabiki wa Yanga na Simba wanachotaka kusikia leo Jumapili zaidi ya timu hizo kushinda ugenini.
Ndani ya Boksi: Hivi Diamond Platnumz naye ni bishoo? Kuna wanamuziki wakali zaidi ya Mondi. Lakini anawazidi kwenye kujiongeza. Mondi anapita sehemu isiyopitika, anamvaa asiyevalika. Na zaidi aliye juu yake anatamani kumfikia fasta.
Ndani ya Boksi: 2025 tutoke mitandaoni sasa Mitandao tumeipokea kama dini na siasa. Lakini lengo la waanzilishi wa hii mitandao ni tofauti na kile kinachofanywa na sisi huku kwetu. Inatuvurugia kila kitu katika ustawi wa jamii. Tunapotoka...