PRIME Kwa nini ni hatari kwa nchi kutegemea sekta ya madini Ingawa madini yanaweza kuwa chanzo kikubwa cha mapato kwa serikali na wawekezaji, utegemezi wake kupita kiasi huleta hatari ya kuyumbisha uchumi wa taifa.
PRIME Mufti atoa neno upatu unavyoliza watu Amesema Uislamu umezungumza masuala ya utunzaji wa fedha, kuishi kiuchumi na namna ya kutumia.
PRIME Tanzania ilivyojipanga 2G, 3G zikielekea ukomo Kufutwa kwa teknolojia ya mitandao ya 2G na 3G ni miongoni mwa mwambo yanayozungumzwa sasa na wataalamu wa teknolojia za mawasiliano hususani katika mataifa yaliyoendelea.
Wadau waeleza chanzo, suluhu ya mikopo kashausha damu Wakati wimbi la mikopo kausha damu likiendelea kutawala nchini, wadau wa masuala ya uchumi wameshauri jitihada za makusudi zinapaswa kuchukuliwa ikiwemo elimu ya mikopo ili kuwanusuru wananchi...
Mramba: Kununua umeme Ethiopia kuna faida kuliko hasara Katikati ya mjadala huo, leo Jumatatu ya Machi 10, 2025 Mramba amewaeleza waandishi wa habari kuwa uamuzi wa Tanzania kuchukua umeme Ethiopia ni kitu chenye faida na si hasara kama watu...
Ligi yetu inadhalilishwa, mashabiki hawaheshimiwi Ni aibu kwa soka letu kuona tukio hili likijirudia bila hatua madhubuti kuchukuliwa na tusipokuwa makini utakuwa ni utamaduni.
Ripoti: Vijana wa Kitanzania wanaongoza kwa utulivu wa akili, lakini ... Hayo yamebainishwa na ripoti ya Mental State of the World 2024, iliyotolewa na taasisi mashuhuri kwa utafiti wa afya ya akili, Sapien Labs
Mabenki Tanzania kutoa huduma rafiki kwa wanawake Miongoni mwa mambo yaliyosisitizwa ni sekta ya benki kushughulikia pengo la utoaji wa huduma maalumu za kifedha kwa wanawake wajasiriamali.
Waziri Mkuu asisitiza kutumia wazawa kubuni suluhu za kidijitali Amesema ustadi wao umeisaidia benki na Taifa kuokoa gharama kubwa zilizotumika kwa wataalamu wa nje na malipo makubwa ya vibali na leseni za kimataifa.
Visa yaipa tano BoT malipo kwa kadi Utafiti huo unaoitwa ‘Thamani ya upokeaji: Kuelewa mazingira ya malipo ya kidijitali Tanzania,’ unaeleza kuwa asilimia 84 ya wajasiriamali hao waliohojiwa walieleza kuwa ndani ya miaka miwili...