Search

416 results for Florence Sanawa :

  1. Madiwani waja juu mbunge kutoshiriki vikao, ajitetea

    Ni Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini, Shamsia Tamba (CUF). Amesema kuna wakati anatingwa na vikao vya kamati ya Bunge

  2. Watatu wakamatwa wakituhumiwa kuiba nyaya za umeme

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kuiba nyaya za umeme mafungu saba waliyokuwa wakiyasafirisha kwa kutumia gari aina ya canter.

  3. Ataka kujiua akipinga kuolewa na mwanamume asiyemtaka

    “Dada akanitaka niondoke pale nyumbani, mimi sikuridhika kwa kuwa yule mwanamume nimezaa naye mtoto mmoja, halafu ni mdogo ana mwaka," amesema.

  4. Akutwa kajinyonga jirani na nyumba ya mkewe

    Sababu zadaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi baada ya kumtuhumu mkewe kuwa na uhusiano na mwanaume mwingine.

  5. Ajiua kwa kunywa sumu kisa kufukuzwa kwa mpenzi wake

    ...Siku tatu kabla ya kifo chake nilishangaa kumuona nyumbani, nilipomuuliza mbona amerudi kwani huwa anaishi kwa mpenzi wake. Alisema amefukuzwa."

  6. Madiwani Nanyamba wamkataa DED

    "Kwa kuwa mmesema hatuna mamlaka ya kumjadili Mkurugenzi tunaomba Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Tamisemi) amchukue mkurugenzi wake sisi tuko kwa niaba ya wananchi hatumtaki,” amesema Tino.

  7. Takukuru yamfikisha mahakamani mtumishi Mtwara akidaiwa kuiba Sh31 milioni

    Asomewa mashtaka matano ikiwemo kutumia vibaya madaraka na kujipatia fedha kwa udanganyifu.

  8. Mwenyekiti wa Halmashauri Tandahimba atishia kujiuzulu, kisa vishikwambi

    Amesema endapo madiwani watapatiwa vishkwambi itapunguza usumbufu wa halmashuari kurudufu taarifa nyingi kwa ajili ya kuzisambaza kwa madiwani na wakuu wa idara ambapo hutumika Sh50 milioni kwa...

  9. Madiwani wamchangia aliyeng’atwa mikono na mamba

    Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wamemchangia Rashid Mkweche aliyekatwa mikono na mamba akiwa anamwagilia mboga pembezoni mwa mto Ruvuma, baada ya kujitokeza katika baraza hilo na...

  10. Wananchi walalamikia jengo la Serikali linaloficha wahalifu

    Jengo hilo linalomilikiwa na Serikali halijatumika kwa muda mrefu, hali iliyosababisha miti na vichaka kuota na kugeuka kuwa maficho ya wahalifu.

Previous

Page 3 of 42

Next