UDSM kujenga jengo la kisasa la uwekezaji kwa Sh8.3 bilioni Akieleza namna walivyoshirikiana, Solomon amesema waliosanifu mchoro wa jengo ni chuo na wao walichofanya ni kuuboresha kidogo ili jengo lilete mapato makubwa.
PRIME Msimamo wa Mdee kuelekea uchaguzi ‘tungo tata’ Wakati Mdee akieleza hayo, mara kadhaa uongozi wa Chadema umesisitiza kuendelea na kampeni ya ‘No Reforms, No Election’ kudai mabadiliko ya sheria na mfumo wa uchaguzi, bila kujali vitisho vya...
Ubovu wa barabara ulivyomkwamisha Waziri kuhudhuria mkutano Mwananchi limeshuhudia magari yakipata shida kupita katika baadhi ya maeneo na yalishindwa kuendelea na safari kutokana na barabara kujaa matope huku mengine yakinasa, likiwemo gari la Jeshi la...
Fursa zawavutia vijana wa Kitanzania kujifunza Kichina Wakizungumza katika mashindano ya "Chinese Bridge" yaliyofanyika hivi karibuni katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wanafunzi hao wamesema ujuzi wa lugha hiyo huongeza nafasi ya ajira na...
PRIME Sababu wananchi kujitengenezea barabara, Tarura yatoa mwongozo Jukumu kubwa la Tarura ni kusimamia matengenezo, ukarabati na ujenzi wa mtandao wa barabara za wilaya zilizokuwa zikisimamiwa na mamlaka za serikali za mitaa na kuratibiwa na Ofisi ya Rais...
PRIME Sababu Padri Nkwera kuzikwa na Kanisa Katoliki Padri Nkwera licha ya kutoa huduma za kiroho alikuwa mtaalamu wa lugha ya Kiswahili na mpaka amefariki dunia ameandika zaidi ya vitabu 150.
Maria Nyerere, Dk Nchimbi washiriki misa kumuaga Padri Nkwera Maziko yanatarajiwa kufanyika leo Jumamosi Mei 17, 2025 kituoni hapo.
Mwili wa Padri Nkwera waagwa, kuzikwa kesho kituo cha maombezi Ubungo Padri Nkwera ambaye muasisi wa kituo hicho alifariki dunia Mei 8, 2025 katika hospitali ya TMJ alikokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuzidiwa ghafla.
Mawakili wa Lissu waja na jipya usikilizaji wa kesi Kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa kwa njia ya mtandao, sasa itasikilizwa katika Mahakama ya wazi ikipangwa kutajwa Mei 19, 2025.
Treni ya Mwakyembe yapata ajali, chanzo chatajwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Amana, Bryceson Kiwelu, amekiri kupokea majeruhi 10 waliotokana na ajali hiyo kati yao wanane ni wanawake na wawili ni wanaume.