Hivi ndivyo diaspora wameguswa kwenye Sera ya Mambo ya Nje
Sera hiyo ni maboresho ya Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001 iliyozinduliwa Ngorongoro, Aprili 30, 2001. Maboresho hayo yamefanyika ikiwa imepita miaka 24, kipindi ambacho ulimwengu umeshuhudia...