Search

2275 results for Waandishi Wetu :

  1. PRIME Kishindo cha Kimbunga Hidaya

    Upepo mkali ulivuma usiku kucha wa jana na leo asubuhi maeneo ya Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani hususan Kisiwa cha Mafia na inadaiwa nyumba 30 hadi 50 zimeathiriwa

  2. Wavuvi waendelea na kazi licha ya tishio la Kimbunga Hidaya

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa Kimbunga Hidaya kikiwa na upepo mkali na kuwatahadharisha watumiaji wa bahari kuwa makini ili kuepuka madhara

  3. Usafiri wa boti Dar- Z’bar, vivuko vyasitishwa, TMA yatoa taarifa

    Kimbunga Hidaya kinatarajiwa kuendelea kusogea karibu zaidi na ukanda wa pwani ya Tanzania huku kikipungua nguvu yake taratibu kuelekea usiku wa kuamkia kesho Mei 5, 2024

  4. Tanzania yapaa viwango uhuru wa habari, sera umiliki kutazamwa

    Amesema kwa sasa Serikali ipo kwenye mchakato wa kupitia sera kwa kushirikiana na wadau ili waweze kuzibadilisha na ikibidi kubadilisha kifungu hicho cha sheria.

  5. Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau

    Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...

  6. PRIME Undani sakata la vyama 19 vya wafanyakazi kuunda shirikisho jipya

    Wakati maandalizi ya sherehe za sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) yakiendelea, vyama 19 vya wafanyakazi wa sekta binafsi vinakusudia kuanzisha shirikisho lao, kwa sababu ya kile wanachodai...

  7. Matumizi ya rada yaokoa wachimbaji migodini

    “Rada hii ilisaidia sana mwaka 2007 ambapo kulitokea maporomoko makubwa ya ukuta lakini kutokana na kifaa hiki, yalibainika mapema na kuchukua hatua stahiki ikiwamo kudhibitiwa,” amesema.

  8. PRIME Mvua ya maafa yazidi kutikisa nchini

    Kukatika kwa mawasiliano kwa baadhi ya maeneo kumesababisha athari kubwa kwa wananchi, ikiwamo kuongeza gharama za maisha kama vile nauli na ugumu wa upatikanaji wa huduma nyingine.

  9. Tanapa yafufua ujenzi hoteli ya kitalii Chato

    Serikali yatoa Sh480 milioni kuendelea na ujenzi uliokuwa umesimama kutokana na ukosefu wa fedha.

  10. Mbunge wa CCM, wadau washauri tatizo la vivuko Kigamboni

    Wananchi wa Kigamboni wameeleza uchache wa vivuko ni sababu ya kushindwa kuvuka kwa wakati hali inayojitokeza nyakati za usiku na asubuh. Wametoa mapendekezo ya nini cha kufanyika kumaliza tatizo...

    New Content Item (2)
Previous

Page 3 of 228

Next