PRIME Vilio vya wagombea TFF ni dalili kwamba hawakujiandaa Hatua inayofuata ni kikao cha mchujo wa awali wa wagombea na kuandika barua za kuwajulisha wagombea juu ya mchujo wa awali .
Miundombinu ya barabarani, madaraja tumejenga wenyewe Hayo yamesemwa usiku wa leo Jumapili Juni 22, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega wakati akizindua Kongamano la Jukwaa la Fikra lililoandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited...
Aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu kuzikwa Afrika Kusini Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, hayati Edgar Lungu, imetangaza mazishi yake yatafanyika nchini Afrika Kusini ambako alifariki dunia Juni 5, 2025.
PRIME Dawa kuzuia maambukizi VVU sasa rasmi Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha sindano ya lenacapavir kwa ajili ya kinga dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), hatua ambayo imepongezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO).
Mafanikio, changamoto mabaraza ya madiwani yakivunjwa Wakati mabaraza ya madiwani katika halmashauri zote nchini yakitarajiwa kuvunjwa kesho Juni 20, 2025, wananchi na madiwani wametathmini miaka mitano ya mabaraza hayo kwenye maeneo yao, huku...
PRIME Msimamo wa Tanzania UN tuhuma za utekaji Kutokana na taarifa hiyo, Balozi Possi aliieleza Mwananchi kuwa Serikali ingetoa msimamo wa kidiplomasia kwenye vikao vya Baraza la Haki za Binadamu wiki hii.
PRIME Mpina aingia anga za Gwajima Hatima ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kisiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), iko njiapanda sawa na ilivyo kwa Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima.
Familia ya Mdude yaipigia goti Serikali, mke asimulia tukio zima Zikiwa zimepita siku 42 tangu kutekwa kwa mwanaharakati Mdude Nyagali, familia yake imeiomba Serikali pamoja na vyombo vya dola kusaidia kupatikana kwa mpendwa wao, huku ikisisitiza inaamini...
Polisi walivyozima mkutano wa Heche na wanahabari Dar Mkutano huo ulipangwa kuhutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema -Bara), John Heche ambaye hadi saa 5:45 asubuhi alikuwa hajafika katika viunga vya hoteli ya Millenium Tower.
Israel yashambulia zaidi Tehran, Trump aonya Mapema leo, jeshi la Israel limetoa agizo la kuwahamisha wakazi takriban 330,000 kutoka eneo la kati la jiji la Tehran.